WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Sunday, January 31, 2016

WEMA WA MUNGU


January 31

Tafakari ya leo tunapomshukuru Mungu kwa kumaliza salama mwezi huu wa kwanza hatuna budi kushukuru kwa wema wa Mungu ambao umetuzunguka. Pamoja na shida zetu au mafanikio yetu bado wema wa Mungu umeendelea kutuzunguka.

Tunakila sababu ya kusema asante Mungu kwa wema wako kwangu na familia yangu na ndugu zangu na marafiki wote wanaonizunguka. Amina

No comments:

Post a Comment