WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Sunday, January 24, 2016

MASIFU YA YESU


January 24
Tafakari ya leo tuukumbuke huu wimbo unaotoa sifa halisi za Yesu kuwa hakuna yeypte zaidi yake iwe kati ya wanaume au la; ni wimbo mzuri abao unatupa tafakari nzuri ya kutambua ukuu wa Mwokozi wetu; Lakini Yeye anatukaribisha kufanana naye ni jukumu letu kam tuko tayari sio tu kwa maisha ya leo na hata maisha ya milele. Amen


No comments:

Post a Comment