WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Sunday, January 17, 2016

ZAWADI GANI TUTUMPA MUNGU WETU?

January 17

Tafakri ya leo hebu tuziangalie , tuzisikilize na kuziimba nyimbo hizi mbili zinafana isipokuwa mazingira ya nyimbo yanatofautiana; Je leo wewe na mimi tutamtolea Mungu zawadi gani? Umefikisha miaka mingapi leo na katika kipindi chote cha maisha yako umemtolea Mungu Zawadi Gani? Jitafakari kwa kina na kisha fanya maamuzi ya kweli kuhusu zawadi gani Unamtolea Mungu wako Leo? Hii Ni tafakari ya leo Mungu atubariki sana na ninawatakieni Nyote Jumapili Njema.




Amina

No comments:

Post a Comment