WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Thursday, January 28, 2016

ENDA NASI BWANA


January 28

Tafakari ya leo tunatakiwa tumkaribishe Mwenyezi Mungu katika maisha yetu na yale yote tuyafanyao, ili baraka yake ikae nasi zaidi, tunajua kuwa bila nguvu ya mungu na yeye kama hatatembea nasi katika maisha yetu ni vigumu kufanikiwa katika safari ya mwisho. Tuutafakari wimbo huu pamoja Amina.

No comments:

Post a Comment