WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Sunday, July 22, 2012

WHAT GOD WANTS US TO EXPECT?




2 Samuel 22:33, 34 "God is my strength and power and He makes my way perfect. He makes my feet like the feet of a deer; he enables me to stand on the height.

It is true that when God puts dearer in your heart to achieve a specific goal, you can have the confidence that he will give you the strength and ability to accomplish it.

Life is a parable and we are facing obstacles to overcome in life and we must face difficulties and challenges on the road to success and the difference always is  the persistence. But we need to remember that  life is never smooth path but rather a series of hills and valleys we also learn from Jesus’ life and the Bible reminds us that when we are in such situation we need to trust God for every step of faith. The faith in the lord will lead us, pick us when we have fallen and faith always gives us strength to go on and ultimately bring us to victory.

James 1: 5-6 tells us that If any of you lacks wisdom, let him ask 
God, who gives generously to all without reproach, and it will be given to him. But let him ask in faith, with no doubting, for the one who doubts is like a wave of the sea that is driven and tossed by the wind.

But we need to  ask God he will give us a solution to our unique problem(s). God knows the precise answer for the particular circumstances we face, he is Aplfa and Omega the beginning and the end.



ENJOY YOUR SUNDAY

Tuesday, July 17, 2012

Sermon during the Swahili Thanksgiving Service:


                      By Rev. Aba Mpesha

Portage Michigan, July 15,


1. What do you have to remind you that God is at work in your life?
Please do remember that: “God wouldn't give you the ability to dream without the ability to make your dreams come true.”

For those of us who thank we do not have something special to thank the Lord for, let us meditate over the words of devotions found on the internet by my wife this week. It is about giving thanks. It reads:

I am thankful:

1.  I can walk that There are those who have NEVER taken their first step
2.  I can see the beauty all around me. There are those whose world is ALWAYS dark.
3.  My heart can be broken when there are those who are so hardened they cannot be touched.
4.  I have been loved when the rare those for whom no one has EVER cared …
5.  For the opportunity to help others There are those who have not been so abundantly BLESSED as I.

2. Joshua has a lot to thank the Lord.


In the passage we read from Joshua 23, we know Joshua had a lot to thank the Lord for and that the Lord has been faithful to fulfill every promise he made to Israelites. Joshua declares before his death:

You know with all your heart and soul that not one of all the good promises the Lord your God gave you has failed. Every promise has been fulfilled; not one has failed.”

Also Joshua knew the nation’s weak spots. He called the people before he dies and gave them a commands in 3 areas to help them where they were most likely to slip.
a)  Follow that which is written in the Book of the Law of Moses without turning aside:
b) Don’t associate with the pagan nations or worship their Gods;
c)  Don’t intermarry with pagan nations.
These temptations were right in their back yards.

Note: It is very important to remember that our associations and relationship can be a temptation to us as well. It is wise to identify our weak spots before we break down. Then we develop strategies to overcome these temptations instead of being overcome by them.

Now down to ourselves: What areas are likely to move us away from God?
a)  No Time for matters of God such as, reading the Word of God and not having time together with other believers to worship God.
b) Materialism- Joining the American band wagon of materialism- the thirst for more and more STUFF

2. Joshua’s Thanksgiving was followed by a promise:

“But if serving the LORD seems undesirable to you, then choose for yourselves this day whom you will serve, whether the gods your ancestors served beyond the Euphrates, or the gods of the Amorites, in whose land you are living. But as for me and my household, we will serve the LORD.” Joshua 24: 15







Sunday, July 15, 2012

LET THIS WEEK BE A THANKSGIVING TO OUR AWESOME GOD

WHY GOD IS AWESOME? 
WHY WE NEED TO THANK GOD ALWAYS?
  


WHY WE DON'T UNDERSTAND GOD?


Friday, July 13, 2012

MUNGU AMETENDA MAAJABU KWA DADA YETU FLORA KASAMBALA


  • TUNAMSHUKURU MUNGU  KWA NEEMA YA UPONYAJI

  • ASANTE KWA  KUUNGANA NASI KATIKA MAOMBI

  • AMA KWELI TUMWACHE MUNGU AITWE MUNGU





Mama yetu mpendwa Marina Kasambala anapenda kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa muujiza wa uponyaji wa Binti yake mpendwa Mama yetu, Dada Yetu, Ndugu yetu na Rafiki yetu Mpendwa Flora Kasambala (Mama Albert); kwa jinsi mkono wa Mungu ulivyoweza kumponya na kuendelea kumpigania mpaka sasa akiendelea kupata neema ya uzima kama zawadi ambayo tunamwomba Mwenyezi Mungu atujalie kila siku.

Mama Marina (Bibi) wakati wote wa kumuuguza Dada yetu Flora alimwambia Mungu Mimi si kitu! Mungu ndiye; kama Zaburi 30:2-3 inanyosema; Ee BWANA, nilikuita unisaidie na wewe umeniponya. Ee BWANA, umenitoa kuzimuni,  umeniokoa nisishuke kwenye shimo la mauti. Kwa hakika Mungu amekuwa tulizo letu katika kipindi hiki chote cha kumuuguza Dada yetu Flora kama Bibilia inavyotufundisha kupitia Isaya 53:4 “Hakika magonjwa yetu Yeye Mwenyewe aliyabeba, na maumivu yetu aliyachukua.” Na Mathayo 8:17 inasema; “Yeye Mwenyewe alichukua udhaifu wetu na kuyabeba maradhi yetu”

Kama binadamu tunasahau kuwa tulishapewa ufunuo kuwa Maradhi ni moja tu ya matokeo ya anguko, lakini tangu mwanzo Mungu anaahidi wokovu na neema; tukisoma Kitabu cha Ebr 12:2 kinafafanua zaidi kuhusu hili pale kinavyotueleza kuwa  tunapokabiliwa na matatizo ya afya tunatakiwa                                       
kuacha kuangalia ugonjwa na badala yake tumwangalie Yesu. Hatuwezi kuangalia sehemu mbili kwa wakati mmoja kama kinyonga. Yatupasa kuchagua; ama tuangalie magonjwa yetu au tuangalie ahadi ya Mungu. Mama yetu Marina pamoja na familia yake, Rhoda Kasambala, Suma Kasambala na Stella Baake pamoja na familia zao  wakati huu waliangalia ahadi ya mungu kama ilivyotokea kwa Ayubu ambaye alivumilia mateso makali yasiyoelezeka mpaka hatimaye akaponywa na kupokea baraka mara mbili; na kuthibitisha maneno ya Malaki 4:2 yasemayo kwamba Bwana ana uponyaji katika mbawa zake.               


Leo hii dada Flora Kasambala baada ya kupona anarudi, na kwa sauti kubwa anamtukuza Mungu, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Luka 17:15-16.

Wakati wa shida kulingana na udhaifu wetu wa kibinadamu tunasahau maagizo ya Mungu wetu kupitia mitume wake kama kitabu cha Mathayo 21:22 kinavyotukumbusha chochote mtakachoomba katika sala, mtapata, kama mkiwa na imani. Nayo: kitabu cha Mtume Marko 9:29 kinatukumbusha kuwa Maombi ndio msingi wa mafanikio yote; 11:24 Yoyote myaombayo katika sala, aminini ya kwamba mtayapokea, na yatakuwa yenu; na na kitabu cha Yohana 14:13-14 kinasisitiza kuwa mkiomba lolote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana na mkiniomba neno lolote kwa jina langu nitalifanya’. Tunamshukuru Mungu kwani Mama yetu Marina pamoja na familia yake yoye na ndugu na marafiki walitekeleza agizo hili.

Familia ya Mama Marina Kasambala inapenda kutoa shukrani za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki wote waliopo Marekani, Tanzania, Canada na Malaysia kwa ushirikiano wao katika maombi na misaada mingine ya hali na mali wakati wote wa kumwuguza Dada yetu Flora kwa misingi ya maagizo ya bibilia. Mungu aendelee kuwabariki na kuwapa heri katika Maisha yenu ya kila siku.

Tunamaliza kwa maneno ya Mtume Pulo kwa 1Wakorinto 15: 57-58 “Lakini, shukrani kwa Mungu, ambaye ametupa ushindi kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. Na hivyo, Ndugu zangu wapenzi, kuwa imara namsiyumbe, Muwe daima katika kazi ya Bwana, kujua kwamba kazi yako si bure katika Bwana”.

Asante Mungu kwa neema hii ya pekee ya uponyaji kwa Dada Yetu Mpendwa Flora Kasambala.

AMEN.

Tuesday, July 10, 2012

MSANIA EMMANUEL MYAMBA A.K.A PASTOR MYAMBA NA DHANA NZIMA YA UHALISIA KATIKA UIGIZAJI




UKOSEKANAJI WA UHALISIA KATIKA FILAMU ZA KITANZANIA.

  • TATIZO NI UHABA WA ELIMU KATIKA SANAA YA FILAMU?


  • TATIZO NI TEKINOLOJIA NDOGO?


  • TATIZO NI KULEWA SIFA NA HATIMAYE KUTOKUWA MAKINI  KATIKA UIGIZAJ?I 


Mr Emmanuel Myamba katika moja ya washa aliwahi sema kuwa “Ni wazi ukiangalia filamu zetu zinakosa weledi katika uandishi wa miswada, uongozaji, uhariri na hata uumbaji wa wahusika. Lazima tukubali udhaifu huu turekebishe”  aliendelea kueleza kuwa “Nimekuwa katika tasnia ya filamu kwa muda sasa lakini kuna changamoto nyingi katika tasnia ya filamu, na jambo ambalo nimeliona ni wasanii kukosa ujuzi kitaaluma katika utendaji wa filamu kwa ujumla, kwa mantiki hiyo nikaamua kufungua chuo hiki kwa ajili ya wasanii maskini wasio na uwezo wa kulipa ada kubwa katika vyuo vilivyopo, lakini pia kutoa nafasi kwa wale ambao wanafanya kazi lakini taaluma imekuwa shida kwao, na mwito ni mkubwa kweli,”


“Tatizo kubwa la wasanii wa Tanzania kushindwa kufaidika na vipaji na ujuzi wao, ni kukosa elimu ya kutosha ya mambo ya sanaa, kwa mantiki hiyo nikaamua kufungua chuo hiki kwa ajili ya wasanii, nimeapa kwamba nitaweka ada ndogo ili wasanii wachanga au kwa ujumla tuseme wasio na uwezo mkubwa wa kifedha waweze kusoma hapa,”

Kati ya waigizaji wanaoigiza kwa hisia na kuvutia nyoyo za mashabiki hapa Tanzania basi hutakosa kumtaja Emmanuel Myamba a.k.a Pastor Myamba ambaye mara nyingi tumezoea kumuona akiigiza kama mchungaji au mtu mwenye maadili ya dini.



Mimi kama mdau wa senema za kibongo ninamkubali sana msanii huyu hasa katika kipaji chake cha kuigiza katika hali ya uhalisia wa maudhui ya kidini na kweli amefanikiwa kuvaa uchungaji wa kweli ambao ni zaidi ya movie wakati ni movie tu. Kutokana na kipaji hicho na umakini wa uigizaji wake wadau wengi tunajua kuwa Myamba ni mchungaji ambaye anakanisa lake, lakini kumbe sio, yeye ni mwigizaji na muumini wa kawaida tu. Hali hii sis wadau wa filamu ndio tunatamani kuangalia filamu zenye uhalisia wa namna hii. Katika kundi hili wasanii kama Dr. Cheni, JB, Wema Sepetu na Shamso Ford ni baadhi ya waigizaji ambao wanakuwa makini katika katika uigizaji wao;unaweza kufurahi nao au kulia nao ukifikiri kile kinachochezwa ni ukweli mtupu, kumbe sio ni falamu tu.

Swali ninalojiuliza hapa nini ambacho kinakosekana kwa wasanii wengi hata wale waanzilishi wa Tasnia hii? je tatizo ni nini? Je ni kweli swala la elimu linachangia kama?

Pastor Myamba alivyoshauri kuwa  “ni vyema kupata elimu kwani elimu inakufanya ujiamini juu ya unachokifanya na kwa umakini zaidi”.


Nina Imani kuwa kusaka maarifa ya namana ya kutengeneza sinema zenye uhalisia na visa litasaidia sana kuleta ushindani sio tu wa ndani bali wa limataifa; ikumbukwe kuwa filamu ambazo zinakosa uhalisia zinapunguza mvuto, na hivyo kuwafanya watazamaji kuishiwa na hamu ya kuziangalia filamu hizo na kuwakosesha kipato na kuongeza umasikini miongoni mwa wasanii.

Kama Gayo alivyowahi kushauri kuwa “Ikiwa tutaendelea kutengeneza filamu zisizo na weledi, zenye visa vilevile na zenye kusukumwa na wasambazaji au haja ya kuchuma fedha za haraka tu watu watatuchoka na baadaye soko litakufa”.

Hivyo kilio cha elimu kwa wasanii kimekuwa ni kilio cha wadau wengi hapa Gayo anasisitiza kuwa “Pia wasanii na watendaji wengine wanapaswa kupatiwa mafunzo, kwangu mafunzo ndiyo kitu cha kwanza muhimu kwa mtu yeyote yule katika kumuongezea stadi zake za utendaji. Kwa jumla kuna upungufu mkubwa wa mafunzo ya fani mbalimbali za sanaa, ikiwemo filamu. Wasanii wengi wanajifunza kwa kuiga wenzao. Ingawa hii ni moja ya njia za kujifunza, tatizo lake ni kuwa huchukua muda mrefu na haina hakika kama kinachoigwa ni sahihi au la”.

Je ni kweli sekta hii ni ya watu ambao hawajasoma? Mimi ninasema hapana? Isipokuwa ni sekta ambayo wahusika wake baada ya kushika pesa kidogo hunogewa na hawataki kujiendeleza kwa kujipanua katika elimu ya uigizaji; na kwa hiyo ufanisi wa kazi umekuwa wa chini mno.

Msanii Myamba ametuletea changamoto nzuri ya kuanzisha chuo cha filamu Tanzania kuppitia chuo hiki wasanii wataweza kukabiliana na changamoto za uandaji wa filamu kwa wasanii kukubali kujiongezea ujuzi na masilahi bora.Kwa hiyo eneo hili la mafunzo linahitaji msukumo siyo tu wa kuongeza nafasi bali pia ubora wake.

Wazungu na kiingereza chao wanasema "Knowledge" comes from getting educated.
"Experience" comes from real life encounters. There is a famous saying that says.

"Experience is better than knowledge!" and "Experience is the Best Education In Life."

 Experience and knowledge go hand in hand.
Knowledge is important, because it makes you aware of what is around you. Knowledge also enables a person to become wealthy.

The more knowledge we have, the more advanced we can become. Education can give you a good job and assure you a secure future. The world needs knowledge to discover new things to help everyone.


Msanii kama kioo halisi cha jamii inayomzunguka, anatakiwa kuuvaa uhalisia wa fani yake ili Yule anayeamua kumwangalia aweze kufaidika na tasnia hiyo. Ili kufikia malengo stahiki, wasanii mmoja mmoja au kwa pamoja wakipata upeo juu ya haya, wataweza kutekeleza ipasavyo majukumu yao na kuwa msaada mkubwa katika kuielimisha jamii juu ya mambo mbalimbali.

Nachukua nafasi kumpongeza Msanii Emmanuel Myamba aka Pastor Myamba kwa kuliona hili na kuanzisha chuo cha kuwaelemisha na kuwapa ujuzi unaostahili wasanii wengine ili waweze kukabili changamoto za kufanya kazia zao kwa makini na kwa uhalisia unaotakiwa katika tasinia ya filamu nchini kuptia Chuo kinachojulikana kwa jina Tanzania Film Training Center (TFTC) kilichopo  Ubungo  Dar Es Salaam  ambacho hutoa mafunzo mbailimbali ya filamu,ikiwemo acting, directing, editing, production management,producing nk.







Nina imani chuo hiki tutawasaidia wasanii wachanga na wakongwe wapate fursa ya kujiongezea ujuzi kitaaluma ili kukabiliana na changamoto mbalimbali katika soko la filamu la ndani na la kimataifa. wazo hili la uanzishaji wa chuo maalum cha uigizaji ni uamuzi wa busara ambao hata serikali inatakiwa kuunga mkono jitihada hizi binafsi. Mungu ibariki Tanzania

Monday, July 9, 2012

LIFE IS LIKE A CAMERA




You know why God wants us to focus? Because Life really is like a camera; it is all about focus. Life is more about choice in every step which we make. Our choice leads us to focus on the positive or the negative issues; as a human being we know that life is short.

The bible reminds us that however we see and do we are advised to  Focus on what the bible teaches us to  control especially good things  which add  positive value to our lives; Good things will increase our good memories and positive experiences.  Focus on what is important is what bible wants  to apply when we use our camera.

As the book of James 3:13-18 tells us that who is wise and understanding among you? Let him show it by his good life, by deeds done in the humility that comes from wisdom. But if you harbor bitter envy and selfish ambition in your hearts, do not boast about it or deny the truth. Such "wisdom" does not come down from heaven but is earthly, unspiritual, of the devil. For where you have envy and selfish ambition, there you find disorder and every evil practice.  But the wisdom that comes from heaven is first of all pure; then peace-loving, considerate, submissive, full of mercy and good fruit, impartial and sincere. Peacemakers who sow in peace raise a harvest of righteousness.

The question is that why God wants us to focus because He is focused on us too.  As Psalm 139 1-3You have looked deep into my heart, Lord, and You know all about me.  You know when I am resting or when I am working

How God is always focusing on us? It is through his attention on us.  Attention is an incredible expression of love from God. We are so blessed because God’s attention is constantly with us. 

Focus as we know it is one of the most difficult issues in taking a picture when you use a camera. The focus needs concentration and commitment and it is so easy when we take bad picture the answer is the focus was not quite correct. As the bible says Colossians 3:2    Set your minds on things that are above, not on things that are on earth.

Psalm 1:1. Blessed is the man Who walks not in the counsel of the wicked, nor stands in the way of sinners,     nor sits in the seat of scoffers; but his delight is in the law of the Lord,     and on his law he meditates day and night.

Our minds tell us what we think, our wills tell us what we want, and our emotions tell us how we feel. The Bible refers to our minds, wills, and emotions

1 Corinthians 15:51-53, but we must wage a daily battle against our "flesh nature." For example, how often do we say or hear things like, "I know I shouldn't say this, BUT" or "I know I shouldn't do this, BUT" or "I know I probably shouldn't eat this, but I'm going to eat it anyway"? Our "flesh nature" pushes us to do what it wants to do, and we often obey our "flesh" even when we know better!

Focus reminds us that we should not run our life based on what someone's opinions. In our fast-paced world, it is easy to get caught up in the daily grind and lose sight of our true purpose in life
                 Wow out of focus

As Romans 12:1 tells us that: "And so, dear brothers and sisters, I plead with you to give your bodies to God. Let them be a living and holy sacrifice—the kind he will accept. When you think of what he has done for you, is this too much to ask?" 

Luke 9:23: "Then he said to the crowd, 'If any of you wants to be my follower, you must put aside your selfish ambition, shoulder your cross daily, and follow me. If you try to keep your life for yourself, you will lose it. But if you give up your life for me, you will find true life.'’

Romans 6:13: "Do not let any part of your body become a tool of wickedness, to be used for sinning. Instead, give yourselves completely to God since you have been given new life. And use your whole body as a tool to do what is right for the glory of God."

Therefore the best way to stay focused as we take our pictures is to commit our self to our creator.