WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Thursday, May 9, 2013

BEFORE YOU CONDEM ME,,,,,,,




Before you judge my life,
My past or my character, walk in my shoes, walk the path I have traveled, live my sorrows, my doubts, my fear,
My pain & my laughter...

Remember everyone has a story, when you have lived my life then you can judge me....

unknown 


Sunday, May 5, 2013

KUMBUKUMBU YA MZEE WETU ALOIS HOLANGOPI TURUKA ALIYETANGULIA MBELE YA HAKI MIAKA 19 ILIYOPITA


  • TUTAKUKUMBUKA DAIMA


Kuna msemo wa kale unaosema kuwa kifo kinatufungulia mlango na kutupeleka sehemu ambayo  hatuifahamu; lakini Yesu katika mahubiri yake aliupinga mtanzamo huu pale aliposema katika John 11:25-26 “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye Mimi, hata akifa atakuwa anaishi 26 na ye yote aishiye nakuniamini hatakufa kabisa hata milele”. Mtume Paulo yeye anatufundisha katika sura ya 14:8 kuwa 8 Kama tunaishi, tunaishi kwa Bwana, nasi pia tukifa  twafa kwa Bwana. Kwa hiyo basi, kama tukiishi  au kama tukifa, sisi ni mali ya Bwana.  

Lakini  pamoja na uthibitisho wote huu kifo sio rafiki mzuri hata kidogo katika maisha yetu kwani hata tukisoma kutoka katika kitabu cha Marko 14: 36 yesu aliwaambia wafuasi wake kuwa “Moyo wangu umejawa na huzuni kiasi cha kufa. Kaeni hapa na mkeshe.”  35 Akaenda mbele kidogo, akajitupa chini kifudifudi akaomba akisema, kama ikiwezekana saa hiyo ya mateso imwepuke. 36 Akasema, “Aba c Baba, mambo yote yawezekana Kwako. Niondolee kikombe hiki, lakini si kama nitakavyo Mimi, bali mapenzi Yako yatimizwe.’’
Kulingana na ubinadamu wetu tukio lolote la kifo halizoeleki hata kama utakuwa ni shupavu kiasi gani, kifo ni tendo ambalo halina kipimo kabisa,

Ni takribani miaka kumi na tisa (19) imepita toka Mwenyezi Mungu alipokuita katika makao yake ya milele;  tulijiuliza maswali mengi;  na tulipotamani majibu majibu yalikuja nusu nusu LAKINI tulifarajika na jambo moja kubwa la kumshukuru Mungu kwa kumjalia maisha mema hapa dunia katika kipindi chote cha uhaki wake, kwani alifanikiwa kutimiza majuku yake kwa kiasi kikubwa na kulingana na neema na maagizo yake; ukiondoa ubinadamu wetu;

Je tunapowakumbuka wapendwa wetu yatupasa tufanye nini sasa?
  1. Tujitathimini uhalisia wa maisha yetu mbele yake kwa kujali zaidi matendo yetu na kuangalia mbele ili tuweze kusafiri katika mstari ulionyoka kama marko 8:62 62 Yesu akamwambia, “Mtu ye yote atiaye mkono wake kulima, kisha akatazama nyuma, hafai kwa Ufalme wa Mungu.”

Unakumbukwa sana na Mke wako mama yetu mpendwa Anna  M. Kinunda na watoto wako wote, wakwe, wajukuu wako,  vitukuu,  marafiki na kila mtu.

Sisi tulikupenda daima lakini mwenyezi Mungu alikupenda zadi kwani yeye ndiye aliye toa na yeye ndiye aliyetwaa kama anavyotufundisha kutoka Kitabu cha ufunuo 20:4 kinatukumbusha kuwa 4 Atafuta kila chozi, kutoka  katika macho yao. Mauti haitakuwepo tena, wala maombolezo, wala  kilio, wala maumivu, kwa maana mambo ya kwanza yamekwisha kupita.’’


Amen

Sunday, April 21, 2013

Why do we perish?




The Bible  teaches us that where there is no vision the people perish; and our main problem is how to visualize our perfect vision;

When you read Deuteronomy 6;6-9 Gods  expects us  to talk about  vision  when we are at home with our family; when we walk along with our love ones; at bedtime and first thing in the morning, in other words  vision in biblical view it is more about open communication which leads to a good life for everyone;

So how can I visualize my vision?


  • We need to open yourself to others

A good football player talent will be seen to others when  you open  and practice yourself and  shares your talents with others;


  • Don’t assume justify what you what to do or say

You cannot call a bell by figure but you will call it after you ring it and when it rings now you can call it a bell; don’t just judge it by its shape still it must ring to call it a bell;

As we ready Malachi 3:10 God can do more with us and our resources than we can by keeping them in our hands;

Therefore Good vision brings great people, because great people are ordinary people with an extra amount of determinations.  Vision and determination works together; Vision will teach you how to compromise in your life, because you will be able to look at the big pictures, and it is easy to when things are no working your ways, to compromise with your feelings, your hurts, even your rejection and despair.

This is our Sunday Meditation

JE JUMAPILI YAKO UMEIANZAJE? LAKINI INATUPASA............''''''

KUMSHUKURU


                                          KUJIWEKA CHINI YA ULINZI WAKE

                                          KUTAMBUA UKUU WAKE  

                                          KUJUA UWEZO WAKE
  

Sunday, April 14, 2013

SISI TULIKUPENDA LAKINI MWENYEZI MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI RIP MAMA MARIA TURUKA

R.I.P mama yetu Anna Maria Turuka
Utakumbukwa kwa mengi
mungu akulaze mahali pema peponi
Like · · ·