WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Monday, December 20, 2010

mapambazuko



UJUMBE WA LEO: UPENDO NI NINI?


1 Wakorintho 13:4-Mwenye upendo huvumilia, hufadhilii, mwenye upendo hana wivu, hajidai wala hajivuni”. Mungu ni upendo akaaye ndani ya upendo, anakaa ndani ya Mungu. Kwa maneno mengine ukimwamini Mungu maisha yako huwa ya furaha; amani; uvumilivu; uaminifu; upole, kuwa na kiasi; hauoni uchungu, hauhesabu mabaya wala kufadhili udhalimu.

Biblia inatufundisha kuwa “ Mtu aliye na marifa asijidai kwa ajili ya hekima, ama mwenye nguvu ajisifu kwa nguvu zake, ama tajiri kujida kwa utajiri wake, lakini wacha yule anaye jidai, ajidai kwa hiki:kuwa ananielewa na kunijua, kwamba mimi ni Bwana, aonyeshaye huruma, ukweli na haki katika duniani kwa haya mimi hufuraia asema Bwana, (Yemia 9:23-24).

Kwa hiyo tunapotafakari wajibu wetu leo mbele ya Mungu inatakiwa tumkaribie (Mungu) kwa moyo wa kweli, wenye utimilifu wa imani, na tusimkaribie yeye atujaliaye uzima tukiwa tumejaza mioyo yetu dhamira mbaya; tukumbuke kuwa dhamira mbaya itaondoa tumaini la umoja wetu na Mwenyezi Mungu. Amina

No comments:

Post a Comment