WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Thursday, December 30, 2010

MWAKA MPYA 2011



Salamu za Mwaka 2011  kwa Uongozi na  wafanyakazi wa Marine Sciences Zanzibar.


Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuukaribia na hatimaye kwa uwezo na upendo wake kuufikia mwaka mpya 2011;

Kwa niaba yangu (Emmanuel Turuka) na familia yangu ( Mrs Grace na Rose) kwanza kabisa, naomba sote tumshukuru Mwenyezi Mungu aliyetujaalia uhai na kutuwezesha kukaribia na hatimaye kuiona siku hii muhimu tukiwa bado salama.  Ni vyema na haki  kumshukuru Mwenyezi  Mungu wetu kwani wapo wenzetu ambao tulikuwa nao pamoja kazini au katika familia zetu, hawakujaaliwa kuiona siku ya leo kwa vile wametangulia mbele ya haki.  

Tunamwomba Mwenyezi Mungu awape marehemu wetu wote mapumziko mema: Tunamwomba pia awape nafuu na kuwaponya wenzetu wote wanaougua maradhi mbalimbali ili wajumuike nasi katika  familia zetu na katika Taasisi yetu katika  kuleta mafanikio mafanikio ndani ya Taasisi yetu na katika familia zetu.

Napenda kukupongeza kwa namna ya pekee Mkurugenzi wa Taasisi yetu Dr. Margareth S. Kyewalyanga kwa kuweza kuiongoza kwa ustadi  Taasisi yetu (IMS) kwani  Taasisi bila uongozi bora ni vigumu kufikia malengo: katka mwaka unaomalizika ameweza kuiendeleza miradi mbalimbali na kuleta miradi mingine ambayo imekuwa na Tija kwa wafanyakazi na Taifa kwa ujumla. Mwenyezi Mungu azidi kukujalia upendo, busara na umadhubuti katika kutekeleza wajibu wako. Ikumbukwe kuwa watawala huwekwa na Mwenyezi Mungu kwa sababu Maalum na kwa wakati wake: swali ambalo unapaswa kujiuliza kwa nini nimekuwa kiongozi wakati huu? Ni mambo gani ambayo yanahitaji umakini zaidi katika kuwapa haki wale ambao wanahitaji msaada wangu katika kipindi cha mwaka unaokuja? Hasa wale wanyonge wanaotamani kujikwamua kimaisha ndani ya Taasisi yetu: Lakini hawana njia ya kutumiza ndoto zao: 


Dr. M.S.Kyewalyanga

Vile vile napenda kuipongeza timu nzima ya Manajimenyi ya Taasisi ikoongozwa  na Dr. Ntahondi B. Nyandwi ambaye daima amekuwa akifanya kazi kwa uadilifu na kuwajali wanyonge; nakufahamu vizuri na jinsi ambavyo umekuwa ukipigania haki za wafanyakazi hasa wale ambao sauti zao hasisikiki ; nakumbuka miaka yote ambayo tumekuwa tikifanya kazi pamoja Bravo, Mwenyezi Mungu azidi kukupa nguvu  katika mwaka wa 2011 katika kutimiza wajibu huo bila kuchoka;

                               Dr. N. Nyandwi

Mwisho ni kwa wafanyakazi wote na wanafunzi nawatakieni kila la kheri katika mwaka 2011, daima tukumbuke kutimiza wajibu wetu; Mwenyezi Mungu katika mwaka mpya atushushue  rehema zake ambazo zimejaa afya njema, na uadilifu ili tuweze kutimiza ndoto zetu za maisha na za kazi; tukumbuke kuwa Kumaliza mwaka ni mwanzo wa mwaka mwingine, na unapoanza mwaka ni lazima tuanze na mikakati mipya. Tuzidi kumwomba Mwenyezi Mungu atujalie mwaka wenye furaha na mafanikio.

Asanteni sana na Mungu atubariki sote tuupokee Mwaka mpya na kuushangilia kwa Moyo mkunyufu na upendo.

 Ni mimi Mfanyakazi Mwenzenu Emmanuel Turuka pamoja na familia yangu Mrs. Grace na Rose Turuka

Friday, December 24, 2010

Mariah Carey-Happy Birthday To You

Chipmunks - Happy Birthday to You!!!

Ujumbe wa leo: My Happy Birthday

 Namshukuru Mungu katika kusherekea siku yangu ya Kuzaliwa 12/24;(X-Mass Baby).



Kama Kitabu cha (Yakobo 1:17)  kinavyo chambua kuhusu Kila kilicho chema,  kilicho kamili, hutoka juu, hushuka kutoka kwa Baba wa mianga, ambaye Kwake hakuna kubadilika: Swali ambalo  mimi najiuliza leo ni hili je zawadi ya maisha ni zawadi   iliyo bora hutoka kwa Mungu? Au kuna zawadi zaidi ya hii?

Leo hii mimi nainua mikono yangu juu nikimwambia Mungu asante sana kwa zawadi ya maisha yangu, kwa kweli ni zawadi bora ambayo Mungu amenijalia. Siku ya kuzaliwa ni siku muhimu sana katika maisha ya kila mmoja wetu, Leo mimi nasherekea miaka 46 ya uhai wa maisha yangu. Namshukuru Mungu kwani yeye amekuwa na anaendelea kuwa nohodha wa maisha yangu.

Nawashukuru wazazi wangu(Mzee Alois Na Mama Anna) na wazazi wa Mke wangu (Mzee Peter na Mama Trifonia) kwa kukubali kutuleta dunia  na kututunza: ni wangapi ambao hawajepata nafasi hii ambayo sisi na (wewe) tumepata? Kuna wale ambao hawajefanikiwa kuona dunia hii au wale ambao waliiona dunia hii lakini maisha yao yalikatishwa kwa sababu yeyote ile. Bibilia inatufundisha kuwa  watoto inatupasa tuwaheshimu wazazi wetu, hili ni jambo linalo mpendeza Mungu tukisoma (Wakorinto 3:20). Mwenyezi mungu ametuagiza kuwa inatupasa kuwaheshima Baba na Mama ili tuweze kupata heri na maisha marefu kwani wazazi wetu ndio waliochukua nafasi ya uumbaji, uwajibikaji wa mahitaji, ugawaji wa sheria mbadala na walinzi wa maisha yetu.

                         Bwana Na Bibi Alois Turuka                                                                                                         
                                                                                                      
(James: 4:6) anatuabarisha kuwa tunapompa Mungu asante, tuna mshukuru yeye kama ndiye pekee mtoaji ya vyote tunavyovifurahia hapa dunia, tunasherekea ukuu wake na wema  wake; na kwa kumshukuru yeye tunaonyesha unyenyekevu wetu kwake yeye; hii ni shukrani pekee ambayo tunastahili kumrudishia bwana kwa wema na Baraka zake.

                       Bwana Na Bibi Peter Myamba 
                           
Katka kusherekea siku yangu ya kuzaliwa Nawashukuru Mungu kwa kunijalia Mke Mzuri, Mwema, Mwenye huruma Mcha Mungu, mpenda watu hasa wale wanaohitaji msaada. Mungu Asante sana kwa kunipa Mke wangu Mpendwa Grace Peter Myamba Leo hii ninavyosherekea siku yangu ya kuzaliwa yeye amekuwa chachu ya mafanikio na mabadiliko ndani ya maisha yangu, yeye amekuwa mke bora kwangu, Amewezesha kunisaidia katika kufanikisha kazi zangu kama mfanyakazi, kama mzazi, daima amekuwa akitumia zaidi busara ya kutoa ushauri hata pale nilipokuwa nimeteleza kwa kusema ukweli kulingana na mafundisho ya bibilia, kushauriana na kukosoana kwa kutumia faragha ambayo tunastahili kuitumia kwa faida ya kulinda famila bora na kuimarisha misingi mizuri ya ndoa; ni mke ambaye anafahamu nini maana ya kusamehe na kusameheana kama ilivyoelezwa kwenye (Waefeso: 4:31-32).  

                        Mrs Grace Peter Myamba

Daima amekuwa akizingatia msemo huu “ it is not so much what you  say but how you say it” tunafahamu kuwa kuongea ni kipaji unaweza kuwa na hoja nzuri tu ukaharimu kwa namna ambayo utaongea; Ujumbe unaufikisha vipi kwa mwenzako na katika hali na mazingira gani? Namshukuru Mungu Grace (Mama Rose) amejaliwa kipaji cha kuufikisha ujumbe kwa namna ya ajabu, katika mantiki ya amani na upendo.

Grace ni mke anayemtegemea sana Mwenyezi Mungu, anamwomba bila kuchoka; kwake Mungu amekuwa kimbiliao lake kitika maisha yake na  maisha yetu kama familia  kila siku, Kama kitabu cha Mithali 31:10:, 31: 11-31, inavyosema ; Mke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye    kumpata?  Yeye ni wa thamani sana kuliko marijani. Mume wake anamwamini kikamilifu   wala hakosi kitu cho chote cha thamani.  Humtendea mumewe mema, wala si mabaya,   siku zote za maisha yake.  Naye hufanya kazi kwa mikono yenye bidii.  Hufanya kazi zake kwa nguvu,  mikono yake ina nguvu kwa ajili ya kazi   zake. Huona kwamba biashara yake ina faida, Huwanyoshea maskini mikono yake  na kuwakunjulia wahitaji vitanga vyake. Huzungumza kwa hekima na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake. huangalia mambo ya nyumbani mwake   wala hali chakula cha uvivu. watoto wake huamka na kumwita mbarikiwa   na mumewe pia, naye humsifu.

Mhubiri 9:9 Furahia maisha na mke wako, umpendaye, siku zote za maisha ya ubatili uliyopewa na Mungu chini ya jua, siku zote za ubatili. Kwa maana hili ndilo fungu lako katika maisha na katika kazi yako ya taabu chini ya jua.

Ni ukweli mtupu kuwa ni vigumu sana kwa mwanaume kufanikiwa bila nyuma yake kuwapo na mwanamke. Mke ni Baraka na hasa mke mwaminifu na mwenye upendo ni lulu ya ndoa na familia yake.
                               Rose Emmanuel Turuka

katika kumbukumbu yangu ya siku yangu ya kuzaliwa Namshukuru Mungu kwa familia ambayo ametujalia, ninashukuru kwa binti ambaye ameleta furaha ndani ya familia yetu  Rose Turuka ambaye ni zawadi ya upendo na amani. Binti huyu kwetu nifuraha, upendo na amani ya maisha yetu. Sisi tunajisikia kuwa na heshima kuwa ni wazazi wa binyi huyu; lakini kama bibilia inavyotufundisha kupitia kitabu chake cha Waefeso 6:4 

                                       Rose and Grace

Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana. inatupasa kama wazazi tunatakiwa kuto waamshia watoto wetu hasira bali tuwafunze adabu kwa utaratibu wa Mungu.

Kama kitabu cha Mithali kinavyosema 22:6 wafundishe watoto katika njia  wapasayo kwenda na hata atakapozeeka hatageuka kwenda kwenye njia isiyo haki.  Akina baba, ‘simamieni nyumba zenu kwa njia nzuri.’ (1 Timotheo 3:4, 5; 5:8) Nanyi watoto, watiini wazazi wenu. (Wakolosai 3:20) Hakuna yeyote katika familia aliye mkamilifu kwa kuwa wote hufanya makosa. Kwa hiyo, nyenyekeeni na kuombana msamaha. Kwa hiyo Kila mmoja katika familia anaweza kuchangia furaha ya familia kwa kumwiga Mungu katika kuonyesha upendo. (Waefeso 5:1, 2)


                             Emmanuel, Rose and Grace

Kwa kweli katika kusherekea siku hii muhimu ya kuzaliwa kwangu kwa unyenyekevu naomba nirudie tena kwa niaba ya familia yangu Grace; Rose ; Emmanuel tunashukuru na tunasema asante sana kwa Mwenyezi Mungu, kwa wazazi  wetu, ndugu zetu na marafiki wote, kwa jinsi ambavyo mmechangia furaha na mafanikio ya maisha yetu; ni zawadi ambayo ni vyema sisi kama wana wa adamu tukaikubali kuwa ni zawadi ambayo haiwezi linganishwa na kitu chochote kile, na ni jukumu letu tu kumshukuru Mungu:


Grace and Emmanuel

Kwa kuhitimisha namaliza kwa kusema “Asante sana Mwenyezi Mungu kwa maisha yangu na familia yangu, wazazi wetu, pamoja na marafiki ambao umetujalia Baraka na upendo wa pekee, tunaomba uzidi kutubarika kadiri unavyotujalia maisha utaangazie neema zaidi, upendo, msamaha na uwe taa inayomulika katika haya maisha ambayo hayana uhakika kwetu, ni wewe tu ambaye unajua nini hatima ya maisha ambayo yako mbele yetu amina”.

Monday, December 20, 2010

DGC CHOIR - UMECHOKA


Why We Worry? Is worry a wakeup call, towards our life?

Woo It is amazing how some people who suffer a lot worry very little, while others who suffer little worry a lot. The question which I am asking myself is why (we) human beings are affiliated with fear? The general answer which comes first in my mind “may be”: Humans are often afflicted with thoughts about things that have no answers. We fear the future, the unknown. We worry about what will happen to us, our family, our business, our money, our possessions, despite the knowledge we have still we live in the world which is inherently with unpredictable environments.

I positively agreed that worrying about something does not change the event or item that we are trying to avoid. In fact, we are sending negative attention to a situation over and over again, and thus potentially attracting it into our life. In other words we just worry about things that we can’t control? Thus Worrying is harmful; it doesn’t make a problem go away. In fact, it often makes the problem worse. The truth is that worry is unhelpful. It doesn’t work. It can’t change the past. It can’t control the future. It only makes us miserable it never solves the problem.

Worrying can damage our health; Worrying can disrupt our spiritual productivity. Worrying affects the way we treat others. When we worry a lot, we tend to be harsher towards our family, friends, and co-workers. (Phil 4:6-7) "Do not be anxious about anything, but in everything, by prayer and petition, with thanksgiving, present your requests to God. And the peace of God, which transcends all understanding, will guard your hearts and your minds in Christ Jesus

When worries consume our thoughts, we tend to focus only on those worries. By doing this, we tend to leave our humbleness towards The Almighty God and His will out of our lives by finding little time for prayer. The humble man does not think all the time about himself and his interests. He does not make excuses for himself all the time. When we are really humble, we do not need to worry. We trust God with everything, now and in the future. We learn to do what Paul did. He allowed God to look after him. Hebrews 10:30: ‘I am the one who will punish’, says the Lord.

Philippians 4:6-7 says, “Don’t worry about anything; instead, pray about everything. Tell God what you need, and thank him for all he has done. Then you will experience God’s peace, which exceeds anything we can understand. His peace will guard your hearts and minds as you live in Christ Jesus” while 1 Peter 5:7 advises us that, “Give all your worries and cares to God, for he cares about you”

So, to get back to worry and self-talk, when you are worried about something, you are having distressing conversations with yourself about things you imagine might happen or be happening outside your observation. Because you are literally worried about nothing -- these events are in your mind, not in your real, physical environment -- there is nothing you can do about the objects of your worry. You are stuck. You are helpless. You can't do anything about nothing.

My today’s massage is that, worry is unnecessary. God has promised to take care of us if we’ll trust him with the details of our life. As a child, asks his/her father for lunch money he/she never worried about where it would come from. As Matthew 6:32 says ““But your heavenly Father already knows perfectly well that you need them, and he will give them to you if you give him first place in your life and live as he wants you to” Therefore God will take care of us just if we have faith and trust God with every area of your life:

Therefore let us replace worry with prayer; let keep our eyes focused

On God, who has a wonderful plan for our lives, and never lose faith and

discredit our Father with our worries. Amin


mapambazuko



UJUMBE WA LEO: UPENDO NI NINI?


1 Wakorintho 13:4-Mwenye upendo huvumilia, hufadhilii, mwenye upendo hana wivu, hajidai wala hajivuni”. Mungu ni upendo akaaye ndani ya upendo, anakaa ndani ya Mungu. Kwa maneno mengine ukimwamini Mungu maisha yako huwa ya furaha; amani; uvumilivu; uaminifu; upole, kuwa na kiasi; hauoni uchungu, hauhesabu mabaya wala kufadhili udhalimu.

Biblia inatufundisha kuwa “ Mtu aliye na marifa asijidai kwa ajili ya hekima, ama mwenye nguvu ajisifu kwa nguvu zake, ama tajiri kujida kwa utajiri wake, lakini wacha yule anaye jidai, ajidai kwa hiki:kuwa ananielewa na kunijua, kwamba mimi ni Bwana, aonyeshaye huruma, ukweli na haki katika duniani kwa haya mimi hufuraia asema Bwana, (Yemia 9:23-24).

Kwa hiyo tunapotafakari wajibu wetu leo mbele ya Mungu inatakiwa tumkaribie (Mungu) kwa moyo wa kweli, wenye utimilifu wa imani, na tusimkaribie yeye atujaliaye uzima tukiwa tumejaza mioyo yetu dhamira mbaya; tukumbuke kuwa dhamira mbaya itaondoa tumaini la umoja wetu na Mwenyezi Mungu. Amina

Sunday, December 19, 2010

SUNDAY MESSAGE

Just as a candle cannot burn without fire, men cannot live without a spiritual life.-- Buddha


Give thanks for what you are now, and keep fighting for what you want to be tomorrow.  ~Fernanda Miramontes-Landeros





Thursday, December 16, 2010

Sauti ya Mnyonge (Remmy Ongala) - Remmy Ongala & Orch. Super Matimila 1988

BURIANI DOCTOR REMMY ONGALA





NINI TUMEJIFUNZA TOKA KWA HAYATI REMMY ONGALA aka DOCTOR?
Wapenzi wa muziki wa dansi na Muziki wa Injili tumepokea kwa masikitiko habari za kifo cha mkongwe wa muziki/Injili  doctor Remmy Ongala ambacho kimetokea tarehe 13/12/2010.

Swali la msingi kwa nini kifo chake kimewagusa wengi? Majibu ya swali hili ni mengi sana kulingana na kila mtu na mtazamo wake na kwa namna ambavyo alikuwa anamfahamu na Doctor Remmy kupitia nyimbo na maisha yake mengine ya kawaida na kwa namna ambavyo  aligusa hisia zetu.

Kwa upande wangu nitazungumzia hasa URITHI  gani ambao Remmy ametuachia sisi kama wananchi wa Tanzania. Marehemu Remmy ametuachia jambo moja kubwa la kuwa wakweli katika katika kutekeleza majukumu yetu bila kumwogomba mtu yeyote Yule; ni Mwenyezi Mungu tu wa kuogopewa. Remmy alikuwa mkweli, muungwana na mwelimishaji wa aina yake.

Aliweza kukitumia kipaji chake katika kuwatetea wanyonge kwa kupitia musiki wake, alikuwa anajitahidi sana kutoimba sana nyimbo za mapenzi na badala yake kuimba zaidi nyimbo zilizokuwa zinagusa na kueleza matatizo ya wanyonge watu wa kipato cha chini, ambao hawana sauti amabyo wakiitumia inaweza kuwasaidia kutatua mataizo yao.
Aliwahi kusema huko nyuma kuwa dunia hii ni gereza wanyonge ambao hawana uwezo wa kuyafurahia maisha kwa vile hawana uwezo hivyo wao ni wakuamuriwa tu nini wafanye ni sawa na wafungwa. Mafanikio ya wanyonge lazima yatokane na furaha ya matajiri ambao furaha yao ndio nafuu ya wanyonge na hasira yao ni kiyama kwa wanyonge.

Doctor Remmy kwa kweli Alifanikiwa sana kueleza ukweli wa maisha wa wanyonge kama umasikini, tatizo la ukimwi na namna ya kujikinga na maambukizo, ukiukwaji wa haki za msingi za binadamu, rushwa mapenzi na uvumilivu kwa kupitia muziki wake; ndio maana kumbi zake zilikuwa zinawapenzi wengi wa Muziki.

Nakumbuka sana ule wimbo wake wa Mambo kwa soksi ambao ulikuwa unahamasisha sana watu watumie kondom katika swala la mapenzi ili kujikinga na maambukizo ya ukimwi; wimbo huu ulionekana kupingana na maadili kwa wakati huu, lakini ukweli Doctor Remmy ulikuwa miongoni mwa elimishaji wa ngono salama kwa jamii. Aliitumia sanaa yake kuwa kweli ni kioo cha jamii katika kutatua tatizo. Hatukuwa tayari kuukubali ukweli huu, tukitumia kigezo ujumbe huu ulikuwa umewasilishwa kunyume na utamaduni wetu. Bila kuogopa ukweli huu Remmy aliuweka bayana, je leo hii Jamii yetu tunaielimisha vipi? Tukubali au tukatae myonge myongee lakini haki yake mpe Remmy alikuwa ameona mbali na alikuwa anawaonyesha wanyonge haki hiyo ya gharama nafuu kwa usalama wa maisha yao;

Yako mengi ya kusema la msingi tu muziki ambao ulikuwa ukipigwa na kutungwa na Doctor Remmy ulikuwa na hisia kali za kuelimisha kulingana na mazingira; tutamkumbuka sana kupitia nyimbo zake; tutamkosa kwa sababu hatutapata tena mashairi na na uimbaji wa hisia kwama wake;

Mwenyezi Mungu amempa Baraka za maisha yake kwa kazi kubwa ambayo ametufanyia kwa kumuwezesha kutumia muda wake wa kutosha kabla ya kifo chake kumwimbia yeye; na kwa kulisoma neno lake kwa utulivu zaidi na kwa makini ampaka pale alipowita kwake katika mapumziko ya milele; kama wengi walivyosema tumempenda sana mpendwa wetu Remmy lakini Mungu amempenda zaidi; Yeye alitoa na Yeye Ametwaa, jina lake na lihimidiwe milele Amin 

Remmy Ongala ~ Narudi Nyumbani





Wednesday, December 15, 2010

SALOMON MUKUBWA (SIJAONA RAFIKI KAMA YESU)



WHO IS THE TRUE FRIEND?

Maslow’s Hierarchy of Needs states that once our biological and safety needs have been met, our next “need” is a social one. This need includes friendships, belonging to a group, and giving and receiving love. God doesn’t want us to be alone! Genesis 2:18 says, “It is not good for the man to be alone. In Ecclesiastes 2:9-10 God tells us this: “Two are better than one, because they have a good return for their work: If one falls down, his friend can help him up. But pity the man who falls and has no one to help him up!” “Blessed is he that findeth a true friend.” (Ecclus. 25-12)

Friendships are the gift to the mankind. The relations which we get in this world are blood related. But the only relationship which isn't related to blood is friendship. A friend is one who believes in you when you have ceased to believe in yourself". This quote aptly describes the role that a friend plays in your life. Friends are the ones who are always there for you, whether the times are good or bad. They never leave your side, even in the worst of circumstance. As Walter Winchell has said, "A friend is one who walks in when others walk out." A friend is someone you respect and that respects you, not based upon worthiness but based upon a likeness of mind. A friend is someone that you can confide in with complete trust.

Friendship has many forms and shapes let us look the difference between Good Friends and True Friends.
A good friend will tell you what you want to hear.
A true friend will always tell the truth.
A good friend seeks to talk with you about your problems.
A true friend seeks to help you with your problems.
A good friend brings a bottle of wine to your party.
A true friend comes early to help you cook and stays late to help you clean.
A good friend, when visiting, acts like a guest.
A true friend opens your refrigerator and helps himself.
A good friend doesn't know your parents' first names.
A true friend has their phone numbers in his address book.

From above differences with a true friend, you can be sure that you will get help to the extent possible by him/her. Nothing will remain unturned. A mother is a true friend of her children. Proverbs 18:24 says, "A man of many companions may come to ruin, but there is a friend who sticks closer than a brother." A true friend makes no excuses of having work or appointments or anything but will be with you whenever you need him/her. In your hour of desperation, a true friend will support you even if the whole world opposes you. A true friend is not an opportunist. If you want to have true friends, you should be a true friend yourself.
The trust between best friends is such that if one friend falls in trouble, the other will not think twice to help. If the bond between two friends is strong, true friends can endure even long distances. For them, geographical separation is just a part of life. It would not affect their friendship. They make it a point to stay in touch, it grows better with time. True friendship thrives on trust, inspiration and comfort.

True friends they accept each other with their positive and negative qualities. Nothing is hidden between true friends. They know each other's strengths as well as weaknesses. One would not overpower the other. They would respect each other's individuality. In fact, they would understand the similarities and respect the differences.

True friends are not opportunists. They don't help, because they have something to gain out of it. True friendship is marked by selflessness. Even if the whole world opposes them. It is not easy getting true friends for the lifetime. If you have even one true friend, consider yourself blessed. Remember, all best friends are friends, but not all friends can be true friends. As Proverbs 18:24 explains there are “friends” who destroy each other, but a real friend sticks closer than a brother

We should remember that Friendship takes time: time to get to know each other, time to build shared memories, time to invest in each other's growth. Trust is essential to true friendship. We all need someone with whom we can share our lives, thoughts, feelings, and frustrations. We need to be able to share our deepest secrets with someone, without worrying that those secrets will end up on the people mouth in the next day!

Faithfulness and loyalty is a key to true friendship. Without them, we often feel betrayed, left out, and lonely. Therefore True friendship requires certain accountability factors. Real friends encourage one another and forgive one another where there has been an offense. Genuine friendship supports during times of struggle. Friends are dependable. In true friendship, unconditional love develops. We love our friends no matter what and we always want the best for our friends. Peter and Jesus give us this example: Peter, afraid for his life after Jesus is led away from the Garden of Gethsemane, denies knowing Jesus (John 18). As He is led away by His accusers, Jesus casts a look toward Peter that says, "I knew you would deny Me, and I forgive you" (John 21).

Therefore as St. Augustine said “Friendship is one of the greatest needs and one of the most exalted blessings of the human heart; to love and to be loved is man’s desire and happiness. The heart of man is so lonely that it must seek another heart outside of itself, to which it may attach itself and in which it may confide. It cannot rest until it has found another heart that will share its sentiments and have compassion on its sufferings. It becomes then one with such a heart, so that they both seem to beat with one pulsation. Therefore we esteem ourselves fortunate when we have found such a heart
Do you believe that Friendship is a blessing which God had rewarded us with? 

What is your opinion?

Friendship quotations:
Pro 24:26 Giving an honest answer is a sign of true friendship.
Pro 13:20 Wise friends make you wise, but you hurt yourself by going around with fools
Pro 16:28 Gossip is no good! It causes hard feelings and comes between friends.
Rom 12:16 Be friendly with everyone. Don't be proud and feel that you are smarter than others. Make friends with ordinary people.

Proverbs 17:17 says, “A friend loves at all times,” not just when times are good but also when times are hard. They love us not just in our best moments, but in our worst moments too.

Proverbs 19:4, we see just how faithful some friends can be. It says, “Wealth brings many friends, but a poor man’s friends desert him.” I’ve often heard people say that you really know who your friends are when times get tough.

Tuesday, December 14, 2010

ROSE MUHANDO NIBEBE NEW VIDEO JIPANGE SAWA SAWA




Why Forgiveness is so Hard?

In life, some things don't always come easy, and forgiveness is often one of those things. When someone hurts us, especially someone close to us, it can be difficult to forgive them. Often we become angry when others hurt us, and that anger can build into resentment. Like a wound left untreated, the anger and resentment worsen and infect our whole being. Before we let anger infect and affect us, we need to learn to forgive.

Many studies have been done on forgiveness and why it is important. Generally, studies indicate people who forgive have lower blood pressure and reduced stress levels. Also, people who forgive show fewer symptoms of anxiety and depression and reduced chronic pain. Overall, people who forgive experience better health, both physically and emotionally. They also experience a more positive spiritual well-being. Basically, people who learn to forgive others are happier than if they had not forgiven.
Technically when we spend so much time feeling hurt, we are playing a victim role. When we fail to forgive, we are becoming a slave to our anger and resentment and losing our ability to be at peace. Life is far too short to waste time feeling angry about something that happened in the past. That does not mean we should forget the past and what happened; instead acknowledge our feelings about what happened and try to learn from the situation. We need to Put aside differences and focus on other positive aspects of our life.

From religious point of view nothing is more central to God’s relationships than the act of forgiveness. Forgiveness is about reconciliation. It is about breaking down the barriers that prevent an intimate relationship. Forgiveness is so important to God that he provided the ultimate sacrifice for the sole purpose of establishing a relationship with mankind. It is one of the deepest and most intense spiritual manifestations. And from the spiritual perspective, it has to be completely honest, integral and absolute. Our spirit burns from what we see as an assault, whether it be the unkind word, an undermining act, unfair criticism or simply unacceptable behavior. When we release the pain of the past we can then learn to be open to what the future can bring.
Forgiveness is the most important single process that brings peace to our soul and harmony to our life. All of us, at some point in our lives, have been hurt and wounded by the actions or words of another. Sometimes the grievances have been so great we thought, no way, this I cannot forgive! Resentment and hostility can run so deep that forgiveness becomes very difficult. We feel we have a right to our indignation. Forgiveness is the key to our own happiness. Forgiving someone else takes moral courage. It ends the illusion of separation, and its power can change misery into happiness in an instant. Forgiveness means choosing to let go, move on, and favor the positive.

As I have shown above that forgive is, in a sense, to love one's enemy. The best gift we can give ourselves is giving ourselves permission to forgive even when we have been hurt deeply. Forgiveness is liberating, renovating, regenerating and in addition it changes us from the victim’s position, to self confidence, appreciation and spirit of good.

Therefore tonight I forgive you. I am moving on with my life. I will not let my resentments pull me down. I give up my anger which has been holding me back. God is good and he will stand on my side, because I noticed that life must go on, and all the burdens must be unloaded through forgiveness. Forgiveness is a gift you give to me and it builds confidence that I can survive the pain and grow from it.

ARE YOU READY TO JOIN ME IN CROSSING A FORGIVENESS BRIADGE?
Matthew 5:24
Leave your gift there in front of the altar. First go and be reconciled to your brother; then come and offer your gif
“He that cannot forgive others, breaks the bridge over which he himself must pass if he would ever reach heaven; for everyone has need to be forgiven”
The day the child realizes that all adults are imperfect, he becomes an adolescent; the day he forgives them, he becomes an adult; the day he forgives himself, he becomes wise.
Alden Nowlan
He who forgives, and is reconciled unto his enemy, shall receive his reward from God; for he loves not the unjust doers.
Koran
A wise man will make haste to forgive, because he knows the full value of time and will not suffer it to pass away in unnecessary pain.
Rambler
Mark 11:25
And when you stand praying, if you hold anything against anyone, forgive him, so that your Father in heaven may forgive you your sins.
Colossians 3:13
Bear with each other and forgive whatever grievances you may have against one another. Forgive as the Lord forgave you.