WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Monday, September 12, 2011

SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA AJALI YA MELI ZANZIBAR



Kwa niaba ya Blogu ya Ukadirifu na Mungupamojanasi,  tumopokea kwa mshituko mkubwa sana na kwa majonzi makubwa sana taarifa kufuatia ajali ya kuzama kwa Meli “ MV MV. Spice Islander” ambayo ilitokea huko Nungwi tarehe 10/09/2011;  ambayo imesababisha vifo vingi vya watanzania wenzetu ambao walikuwa wanasafiri kati ya Dar es salaam, Unguja na Pemba.



Tunatoa salamu zetu za rambirambi kwa wahanga wote wa ajali hii, ambao wamepoteza wapendwa wao, ndugu  na marafiki.

Tunatoa salamu zetu kwa viongozi wetu wakuu wan chi Rais wa Serikali ya Mapinduzi Dr Ali M. Shein, Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete;
Tunatoa shukrani na pongezi za dhati kwa wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine katika harakati za  kuokoa maisha ya waanga wa ajali hii na vile viele katika shughuli za kuopoa maiti;

Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa, nguvu na faraja ndugu zetu ambao wameguswa na msiba huu mkubwa  na katika kipindi hiki chote kigumu ambacho kipo mbele yetu;


No comments:

Post a Comment