WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Friday, April 15, 2011

UJUMBE WA LEO: ZABURI 133:1


 Tazama! Jinsi ilivyo vyema na jinsi inavyopendeza  Ndugu kukaa pamoja kwa

je katika maisha yetu tunafurahia faraja ya kukaa pamoja kama ndugu: iwe ni ndugu wa kuzaliwa au ni ndugu tuliounganishwa na imani kuwa sisi ni wamoja na tumezaliwa ili tuweze kusaidiana;


Je kwa mwelekeo wa jamii yetu ambayo imetawaliwa na maasi, mauaji, ubakaji, rushwa, na mengine mengi je bado tunanafasi  ya kuishi kulingana na Zaburi hii;



Je ni katika wakati gani tunaunganishwa zaidi na zaburi hii?



  • Ni wakati wa furaha?



  • Huzuni kama kifo?



  • Mahangaiko ya kushindwa katika maisha yetu upweke na kadhalika?



  

No comments:

Post a Comment