WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Sunday, October 16, 2011

TAFAKARI YA JUMAPILI YA LEO



Kwa nini mke mwema hutoka kwa Mungu?



·        Mke mwema atokaye kwa bwana lazima ataendana na sifa zako uzitakazo  wewe kama mume na utaridhika nae!


·        Lakini sifa ya kumpata Mke mwema na wewe lazima uwe na sifa za kuwa  mume mwema DAIMA Mungu wetu hawezi kumpa mwanamme muovu mke mwema.

Tutafakari pamoja jumapili ya leo kuhusu wimbo huu na maelekezo ya hapo juu huku tukimshukuru Mungu kwa wale wote ambao tayari Mungu ameshawachagulia Mke/Mume na wanaishi kulingana na maelekezo yake.

Kwa wale ambao bado Mungu ajewachagulia Mke/Mume mwema wazidi kumwomba Mwenyezi Mungu ili wajaliwe mwenzi bora wa maisha.

No comments:

Post a Comment