WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Sunday, May 8, 2011

MOTHERS DAY

              HONGERA   WAPENDWA MAMA  ZETU

                               mama Turuka

Mtaalam mmoja aliwahi sema kuwa  pindi mtoto anapozaliwa na mama anazaliwa pia, mama hakuishi kabla; bali mwanamke anaishi muda wote lakini mama ni kitu kipya kinachokuja baada ya mtoto
                            Marehemu Mama Myamba

Leo siku ya kuwashukuru sana  “ Mama” kwa jinsi wanavyojitolea katika kuhakisha kuwa kila kitu ndani ya familia kinakwenda vizuri, kama mama ni legelege ndani ya familia na familia itayumba tu;
Ni ukweli usiopingika kuwa katika kila mafanikio makubwa ndani ya familia nyuma yake yuko Mama;
                                  Mama Rose




                            Mama Anna

Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuwajalieni busara, upendo, ujasili na unyenyekevu ambao ni daraja la msingi sana katika kuimarisha nyumba bora yenye upendo mkubwa. Kwa namna ya pekee leo napenda kuwakumbuka na kuwashukuru sana na nazidi kumwomba Mungu azidi kuwajalia afya njema na amani katika maisha yenu ya kila siku

             Mama Vivian, Mama Brian na Mama Baraka

                            

                                               Mama Anna na Mama Rose


Kama kitabu cha mithali 11- 6 kinavyosema Mwanamke mwenye moyo wa huruma hupata    heshima, Apataye mke apata kitu chema  naye ajipatia kibali kwa BWANA; wakati  Mitahali 5- 18 inaendelea kutufundisha kuwa Chemchemi yako na ibarikiwe  na ufurahie mke wa ujana wako; na ninahitimisha kwa tafakari hii kutoka Mitali 14; 1 inatutaadhalisha kuwa Mwanamke mwenye hekima huijenga   nyumba yake,  bali mpumbavu huibomoa nyumba yake    kwa mikono yake mwenyewe.

No comments:

Post a Comment