WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Wednesday, January 16, 2013

JE DINI NI MADHEHEBU AU? MAONI YA IMANI NYALAMOYO KAPINGA



Tusipoteze muda kuhubiriana na kulumbania madhehebu....BALI....hubiri na ufundishe neno la Mungu sawa na ilivyoandikwa..halafu tutajijua kama madhehebu yetu yanafuata neno ama yanatupotosha

-Madhehebu yote duniani yameanzishwa na binadamu ( kwa uongozi wa Mungu au kwa mtazamo wake binafsi). Ndiyo maana ukisoma biblia hutakuta jina hata la dhehebu moja ambayo yapo duniani.

- Yesu hakuacha dhehebu bali aliacha wafuasi wake na maagizo/mwongozo ambavyo ni neno la Mungu.

-Ndiyo maana kila mtu anajukumu binafsi la kulisoma neno la Mungu na kulielewa na wala usikae kungojea viongozi wa dhehebu lako ndiyo wakufanyie kila kitu maana hutajua km wanakuambia ukweli au wamepindisha.

Kipimo cha usahihi wa imani yako si dhehebu lako, wazazi wako, walezi au jamii inayokuzunguka ...BALI....ni neno la Mungu....TUFUNGUKE...
Like ·  · 

No comments:

Post a Comment