WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Sunday, January 6, 2013

IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU TAREHE 20 JANUARI 2013: PORTAGE MICHIGAN ITAKAYO ONGOZWA NA MCHUNGAJI DR. ABA MPESHA




Wapendwa katika Kristo,

Tumsifu Yesu Kristo!

Tutakuwa na ibada ya kwanza ya mwaka 2013 hapo Portage, Jumapili tarehe 20 Januari 2013 Saa kumi mchana. 

Ni lengo letu kuanza saa iliyopangwa (saa kumi mpaka saa kumi na mbili) bila kuchelewa. 

Nawakumbusha mtenge siku hiyo ili tuweze kujumuhika pamoja na kumshukuru Mungu kwa mwaka uliopita na kumwomba awe nasi mwaka huu wa 2013.

Nitawasiliana nanyi tena baadaye na malezo zaidi.

Mbarikiwe!



Rev Aba Mpesha
4198 Packard St, Apt#3
Ann Arbor, MI 48108,
Phone:1 616 884 8143

No comments:

Post a Comment