WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Friday, December 9, 2011

TUNAWATAKIENI KILA LA KHERI KATIKA KUSHEREKEA MIAKA 50 YA UHURU WA TAIFA LETU



kwa niaba ya Ukadirifu.blogspot.com na mungupamojanasi.blogspot.com na manajementi nzima, inawatakia Wananchi wa Tanzania na Rais wa Serikali ya Jamuhuri Ya Muungano Tanzania kusherekea kwa furaha na amani shehere ya kutimiza miaka 50 ya uhuru wa Taifa letu.


Leo ni siku kubwa kwa Taifa letu  ni wakati mzuri wa kutafakari mafanikio na mapungufu ya utendaji na uwajibikaji wa kila mtu katika nafai yake.




Swali la msingi je taifa letu baada ya miaka 50 litaendelea kuwa moja tutaendelea kusimama pamoja tukumbuke kuwa Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.


Hii ni siku kubwa kama Taifa inatupasa kumshukuru Mungu kwa upendelo wake kwa taifa letu.


Mungu Ibariki Tanzania


UKADIRIFU NA MUNGUPAMOJANASI MANAGEMENT

No comments:

Post a Comment