WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Wednesday, January 12, 2011

UJUMBE WA LEO KUTOKA " YAKOBO 4; 1- 3

Wakati nchi zetu nyingi zinakuwa kwenye vugu vugu za vita, migomo mauaji ya raia ambao hawana hatia; tunapatiwa jibu au majibu tukisoma kitabu cha Yakobo 4; 1- 3 :
1
Ni kitu gani kinachosababisha mapigano 
na ugomvi miongoni  mwenu? Je, haya 
hayatokani na  tamaa zenu zinazoshindana 
ndani yenu?  
2
Mnatamani lakini hampati, kwa 
hiyo mwaua. Mwatamani kupata lakini hampati 
vile mnavyotaka, kwa hiyo mnajitia katika 
magomvi na mapigano. Mmepungukiwa kwa 
sababu hamumwombi Mungu. 
3
Mnapoomba 
hampati kwa sababu mnaomba kwa nia mbaya, 
ili mpate kuvitumia hivyo mtakavyopata kwa 
tamaa zenu. 

No comments:

Post a Comment