WELCOME - KARIBUNI SANA

GOD’S PROMISES ARE NEW EVERY MORNING” LAMENTATION 3;23

“All our dreams can come true – if we have the courage to pursue them.” - Walt Disney


Wednesday, August 3, 2011

NAWATAKIENI MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI ULIOJAA NEEMA



Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakieni ndugu zangu, marafiki zangu na waisalam wote kwa ujumla mfungo mwema  katika Mwezi  huu mtukufu wa Ramadhani.

Ni kipindi kizuri cha kufanya tafakari na hatimaye kuishi maisha ya kila siku kulingana na Tafakari hiyo kama inavyopaswa ifuatwe na tunamwomba Mwenyezi Mungu awashushie kila aina ya neema na upendo wake katika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani -

 Amen

No comments:

Post a Comment