May 12
Tafakari Ya Leo Tuangalie Nguvu Ya wazo Katika Maisha yetu. Tukumbuke kuwa maisha yetu yamejengwa na wazo. Wazo ni zao la kazi ya akili ambayo inaleta fikra juu jambo au khali fulani. Wazo huzaa neno- kupitia neno akili yetu hutafuta njia ya kuelezea wazo. Ili neno liweze kutimiza haja hugeuka kuwa kielelezo cha wazo - neno ili liweze kuonekana kupitia kigezo. (Concept ).
Tafakari yetu leo inatukumbusha kuwa wazo ambalo hugeuka kuwa neno lazima lielezwe kupitia, mawasiliano (communication). Mawasiliano ili yaweze kufanya kazi lazima yawe ya pande mbili. Pande hizi zinaweza kukubaliana au kutofautiana.
No comments:
Post a Comment