Isaya 45: 22-25
Tafakari yetu leo inatuhimiza kuwa yatupasa kumwangalia yeye kama Isaya anavosema; Niangalieni mimi, mkaokolewe, enyi ncha zote
za dunia; maana mimi ni Mungu; hapana mwingine. Kwa nafsi yangu nimeapa, neno hili limetoka kinywani mwangu
katika haki, wala halitarudi, ya kwamba mbele zangu kila goti litapigwa, kila
ulimi utaapa. Mmoja ataniambia, Kwa Bwana, peke yake, iko haki na nguvu;
naam, watu watamwendea yeye, na wote waliomkasirikia watatahayarika. Katika Bwana wazao wote wa Israeli watapewa haki, na kutukuka.
No comments:
Post a Comment